Shaykh Fawzaan: Mafanikio Hutokana Kufuata Kitabu Cha Allaah Na Hidaaya Na Kujiepusha Na Bid’ah
Mafanikio Hutokana Kufuata Kitabu Cha Allaah Na Hidaaya Na Kujiepusha Na Bid’ah
Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
Amesema Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah):
Ukitaka Mafaniko basi juu yako na mambo haya matatu:
- Shikamana na Kitabu cha Allaah
- Fuata mwongozo
- Epukana na Bid’ah
[Sharh Al-Mandhwumah Al-Haaiyyah (Uk. 56)]
