Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Usiwe Na Kasumba Na Mlinganiaji
Usiwe Na Kasumba Na Mlinganiaji
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
“Usiwe na kasumba na mlinganiaji au mtengenezaji ikiwa amepinda katika haki. Kwa sababu haki si kwa (kutazamwa) wingi wa watu, bali haki ni kwa kuwafikiana na Kitabu (Qur-aan) na Sunnah.”
[Ash-Sharhu Al-Mumti’, mj. 4, uk.379]
