Imaam Ahmad: Misingi Ya Sunnah Ni Kushikamana Na Sunnah Na Kuacha Bid’ah
Misingi Ya Sunnah Ni Kushikamana Na Sunnah Na Kuacha Bid’ah
Imaam Ahmad (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ahmad (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Misingi ya Sunnah kwetu sisi ni kushikamana na yale waliyokuwa nayo Maswahaba wa Mtume, kuwafuata na kuacha bid'ah kwani kila bid'ah ni upotevu.”
[Ibn Ya’la al-Fara’, Twabaqaatul Hanaabilah, Mj. 1, uk.241]
