Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Salafiy Ni Yeyote Yule Anayefuata Manhaj Ya Maswahaba
Salafiy Ni Yeyote Yule Anayefuata Manhaj Ya Maswahaba
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
“Kila aliye katika Manhaj ya Maswahaba na waliowafuata (Maswahaba) na waliowafuata hao waliowafuata (Maswahaba) kwa wema (Haki) basi naye ni Salafiy hata ikiwa yuko katika zama zetu hizi.
[Nuwr ‘Alaa Ad-Darb, 1/35]
