Imaam Ibn Taymiyyah: Bid'ah Imefungamanishwa Na Mfarakano, Sunnah Imefungamanishwa Na Jamaa'ah
Bid'ah Imefungamanishwa Na Mfarakano
Na Sunnah Imefungamanishwa Na Jamaa'ah
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
"Bid'ah imefungamanishwa na mfarakano, kama ambavyo Sunnah imefungamanishwa na Jamaa'ah.
Ndio inasemwa: 'Ahlus-Sunnah wal-Jamaa'ah' (Watu wanaofuata Sunnah na kukusanyana katika haki).
Kama ambavyo inasemwa: 'Ahlul-Bid'ah wal-Furqah (Watu wa bid'ah 'wazushi' na mfarakano'."
[Al-Istiqaamah, uk. 58]
