Shaykh Fawzaan: Salafiyyah Ni Manhaj Ya Haki Tunawajibika Kuifuata
Salafiyyah Ni Manhaj Ya Haki Tunawajibika Kuifuata
Shaykh Swaalih Bin Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) amesema:
Usalafi ni Manhaj ya haki ambayo tunawajibika kuifuata na kuacha manhaj nyinginezo zinazokwenda kinyume nayo.
[Al-Bayaan Li-Akhtwaa-i Ba'dhw Al-Kuttaab, uk. 42]
