Shaykh Fawzaan: Ukitaka Kusalimika Na Ukitaka Furaha…Shikamana Na Manhaj Ya Salaf
Ukitaka Kusalimika Na Ukitaka Furaha…Shikamana Na Manhaj Ya Salaf
Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
Shaykh Swaalih Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) amesema:
“Ukitaka kusalimika na ukitaka furaha na ukataka salama (ya kuepukana) na upotevu; basi ni juu yako (kushikamana na) Manhaj ya Salaf.”
[Sharhu Ad-Durrat Al-Madhwiyyah, uk. 278]
