Skip to main content

Fataawaa: Udhwhiyyah (Kuchinja)12-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Akisahau Kutamka Du’aa Ya Kuchinja Afanyeje? Kichinjo Kinakuwa Haraam Kuliwa

Akisahau Kutamka Du’aa Ya Kuchinja Afanyeje? Kichinjo Kinakuwa Haraam Kuliwa

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Mtu anaposahau kutamka du’aa ya kuchinja anatakiwa afanye nini?

JIBU:

Atakayesahau kusema hana madhambi lakini kichinjo kinakuwa haraam na haifai kuliwa.

[Majmuw’ Al-Fataawaa (25/56)]