Imaam Ibn Baaz: Maulidi Ingelikuwa Ni Jambo La Shariy’ah Asingelificha Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Ingelikuwa Maulidi Ni Jambo La Shariy’ah Asingelificha Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn Baaz amesema: (Rahimahu Allaah)

 

 

Lau ingekuwa kusherehekea Mawlid (mazazi ya Nabiy Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ni jambo lipo ki-Shariy’ah, asingelificha Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kwa sababu yeye hakuwahi kuficha chochote katika Dini, bali alikifikisha kwa uwazi, hakuwahi kusherehekea kuzaliwa kwake na wala hakuwaamrisha Swahaba wake kwa jambo hilo, na wala hawakufanya jambo hilo Makhalifa wake waongofu (Radhwiya Allaahu ‘anhum) -  wala baki ya Swahaba (Radhwiya Allaahu ‘anhum)  na At-Taabi’uwn wa wala waliowafuata kwa wema, kwenye zile Karne tatu bora. Basi vipi jambo hilo lijifiche kwao wao kisha waje kulifahamu waliokuja baada yao?  Huo ni mustahili.”

 

 

[Fataawaa Imaam Ibn Baaz: Nuwr ‘Alad-Darb – Al-Mawqi’ Ar-Rasmiy’]                  

 

 

 

 



 

 

 

Share