014-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kutukana Walio Kufa Bila ya Haki na Maslahi ya Kisheria

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب تحريم سب الأموات بغير حق ومصلحةٍ شرعية

014-Mlango Wa Kukatazwa Kutukana Walio Kufa Bila ya Haki na Maslahi ya Kisheria

 

Alhidaaya.com

 

وعن عائشة رَضِيَ اللهُ عنها ، قالت : قَالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم : (( لا تَسُبُّوا الأَمْوَاتَ ، فَإنَّهُمْ قَدْ أفْضَوْا إِلَى مَا قَدَّمُوا )) . رواه البخاري .

Imepokewa kutoka kwake 'Aaishah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba RAsuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Musiwatukane waliofariki kwani wao tayari wanakumbana na yale waliyoyakadimisha." [Al-Bukhaariy]

Share