067-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kujiita Shaahinshah kwa Sultani na Wengineo Kwani Maana yake ni Mfalme wa Wafalme na kwa Hilo Hasifiwi Nalo ila Allaah Ta'aalaa

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب تحريم قوله : شاهنشاه للسلطان وغيره

لأن معناه ملك الملوك ، ولا يوصف بذلك غير الله سبحانه وتعالى

067-Mlango Wa Uharamu wa Kujiita Shaahinshah kwa Sultani na Wengineo Kwani Maana yake ni Mfalme wa Wafalme na kwa Hilo Hasifiwi Nalo ila Allaah Ta'aalaa

 

Alhidaaya.com

 

وعن أبي هريرة رضي الله عنه ، عن النبيِّ صلى الله عليه وسلم قال : (( إنَّ أَخْنَعَ اسْمٍ عِنْدَ اللهِ عزوجل رَجُلٌ تَسَمَّى مَلِكَ الأَمْلاَكِ )) . متفق عليه .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Hakika majina yaliyo dhalili mno na mabaya mbele ya Allaah Ta'aalaa ni mtu kujiita Malikal Amlaak (Mfalme wa Wafalme)." [Al-Bukhaariy, Muslim, Abu Daaawud na At-Tirmidhiy].

 

 

Share