068-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumuita Fasiki na Mzushi na Mfano Wao kwa Jina la Bwana na Mfano wake

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب النهي عن مخاطبة الفاسق والمبتدع ونحوهما بِسَيِّد ونحوه

068-Mlango Wa Kukatazwa Kumuita Fasiki na Mzushi na Mfano Wao kwa Jina la Bwana na Mfano wake

 

Alhidaaya.com

 

عن بُريَدَةَ رضي الله عنه قالَ : قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم : (( لاَ تَقُولُوا لِلْمُنَافِقِ سَيِّدٌ، فَإنَّهُ إنْ يَكُ سَيِّداً فَقَدْ أسْخَطْتُمْ رَبَّكُمْ عزوجل )) . رواه أبو داود بإسنادٍ صحيح.

Imepokewa kutoka kwa Buraydah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Usimuite mnafiki Bwana, kwani akiwa yeye atakuwa ni bwana, hakika mtakuwa mmemkasirisha Rabb wenu 'Azza wa Jalla." [Abu Daawuwd kwa Isnaad Swahiyh]

 

 

Share