084-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kunyanyua Maamuma Kichwa chake Kutoka katika Rukuu au Sijda Kabla ya Imam

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب تحريم رفع المأموم رأسه من الركوع

أَو السجود قبل الإمام

084-Mlango Wa Uharamu wa Kunyanyua Maamuma Kichwa chake Kutoka katika Rukuu au Sijda Kabla ya Imam

 

Alhidaaya.com

 

عن أَبي هريرة رضي الله عنه : أنَّ النَّبيَّ صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : (( أمَا يَخْشَى أحَدُكُمْ إِذَا رَفَعَ رَأسَهُ قَبْلَ الإمَامِ أنْ يَجْعَلَ اللهُ رَأسَهُ رَأسَ حِمَارٍ ! أَوْ يَجْعَلَ اللهُ صُورَتَهُ صُورَةَ حِمَارٍ )) متفق عَلَيْهِ .

Imepokewa kutoka kea Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Hivi kwa nini haogopi mmoja wenu anapoinua kichwa chake kabla ya Imam, Allaah Akakibadilisha kuwa kichwa cha punda au Allaah Kuifanya sura yake kuwa ya punda." [Al-Bukhaariy, Muslim, Abu Daawuwd na At-Tirmidhiy]

 

 

Share