Juisi Ya Pasheni, Karoti Na Ndimu

Juisi Ya Pasheni, Karoti Na Ndimu

 

Vipimo

Passion fruit - 10

Karoti - 7

Ndimu - 4 kamua maji

Maji - kiasi

Sukari - kiasi upendavyo

 

Namna Ya Kutayarisha

  1. Chemsha karoti hadi ziive kisha zisage na maji katika blender.
  2. Kata passion fruit toa nyama weka katika mashine  usage na maji   
  3. Kisha changanya vyote katika bakulia kubwa kisha tia sukari, kisha tia ndimu  
  4. Weka katika friji ikiwa tayari.

 

Share