Imaam Abuw Shaamah - Usighurike Na Wingi, Haki Ndio Ya Kufuatwa

Usighurike Na Wingi, Haki Ndio Ya Kufuatwa

www.alhidaaya.com

 

Imaam Abuw Shaamah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Maamrisho ya kushikamana na Jamaa'ah, yanamaanisha kushikamana na Haki na wanaoifuata; japo wanaoshikamana na Haki ni wachache na wanaoipinga ni wengi. Haki ni ile waliyokuwa wameshikamana nayo Jamaa'ah wa mwanzo wakati wa  Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum).
Hakuna mazingatio yanayowekwa kwa wingi wa watu kwa yasiyo na tija kutoka kwao."

 

[Al-Baa'ith 'Alaa Al-Bid'ah Wa Al-Hawaadith, uk. 19]

 

Share