065-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kuomba Kinga Ya Kushindwa Kulipa Deni, Kushindwa Na Adui Na Bezo La Maadui

 

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kuomba Kinga Ya Kushindwa Kulipa Deni, Kushindwa Na Adui Na Bezo La Maadui

 

 Alhidaaya.com

 

 

  اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ غَلَبَةِ الدَّيْنِ وَغَلَبَةِ الْعَدُوِّ وَشَمَاتَةِ الأَعْدَاءِ

Allaahumma inniy a’uwdhu bika min ghalabatid-dayni, wa ghalabatil-‘aduwwi wa shamaatatil-a’-daai

 

Ee Allaah hakika mimi najikinga Kwako kushindwa kulipa deni, na kushindwa na adui, na bezo la maadui.

 

[An-Nasaaiy, Ahmad -  Swahiyh An-Nasaaiy (3/1113)]

 

 

Share