Skip to main content

Shaykh Fawzaan: Kujifunza Lugha Za Kigeni Kwa Ajili Ya Da’wah

 Kujifunza Lugha Za Kigeni Kwa Ajili Ya Da’wah

Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

Alhidaaya.com

SWALI:

Nini hukmu ya kujifunza lugha za kigeni kwa ajili ya da’wah?

JIBU:

Ikiwa kujifunza ni kwa ajili ya hitajio la muhimu, basi hakuna ubaya kujifunza kwa ajili ya haja muhimu. Ama kujifunza tu kwa sababu ya kupenda tu, basi hairuhusiwi.  

[Sharh ‘Umdatil-Fiqh Shariytw (4, Swali Namba 43)]