Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Qur-aan Ni Tiba Ya Maradhi Yaliyojaa Moyoni
Qur-aan Ni Tiba Ya Maradhi Yaliyojaa Moyoni
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
“Kadiri utakavyowaomba madaktari wakuondolee yaliyo moyoni mwako (matatizo mbalimbali na maasi) basi hutopata (tiba) kama ya Qur-aan.”
[Sharh Al-Kaafiyah Ash-Shaafiyah, mj. 1, uk. 198]
