Imaam Ibn Taymiyyah: Allaah Anasikiliza Du’aa Na Anaitikia
Allaah Anasikiliza Du’aa Na Anaitikia
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):
“Na katika dunia hii, Allaah (Ta’aalaa) Anasikiliza du’aa za wanaomuomba na Anawaitikia ambao wanamuelekea kumuomba (haja zao) japokuwa kwa lugha mbali mbali au kwa haja zozote zile.”
[Majmuw’ Al-Fataawaa (5/133)]
