Ukurasa Wa Kwanza /Imaam Ibn Taymiyyah: Wanaoshirikiana Katika Dhambi Na Uadui Huchukiana Wenyewe Kwa Wenyewe
             
                   
                 
                        
                        
			                        Imaam Ibn Taymiyyah: Wanaoshirikiana Katika Dhambi Na Uadui Huchukiana Wenyewe Kwa Wenyewe
                                    
                        
              
    
  
      
  
  
     
Wanaoshirikiana Katika Dhambi Na Uadui Huchukiana Wenyewe Kwa Wenyewe
 
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
 
www.alhidaaya.com
 
 
Amesema Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):
 
“Watu wakishirikiana katika dhambi na uadui basi (matokeo yake) ni huchukiana wenyewe kwa wenyewe.”
 
[Majmuw’ Al-Fataawaa (15/128)]
 
