Skip to main content
⌂
Alhidaaya.com homepage
slogan image
  • Log in

left sidebar menu

  • Qur-aan
  • Hadiyth
  • Sunnah
  • Tawhiyd
  • Aqiydah
  • Manhaj
  • Shirki & Kufru
  • Bid-'ah (Uzushi)
  • Salaf Wa Ummah
  • Firaq-Makundi
  • Fiqh-Ibaadah
  • Duaa-Adhkaar
  • Fataawa Za Ulamaa
  • Kauli Za Salaf
  • Akhlaaq-Aadaab
  • Raqaaiq
  • Familia-Jamii
  • Maswali-Majibu
  • Chemsha Bongo
  • Vitabu
  • Mapishi

08-Buluwgh Al-Maraam: Kitabu Cha Nikaah: Mlango Wa (Talaka Ya) Rejea

بُلُوغُ الْمَرام

Buluwgh Al-Maraam

كِتَابُ اَلنِّكَاحِ

Kitabu cha Nikaah (Ndoa)

  بَابُ اَلرَّجْعَةِ

08-Mlango Wa (Talaka Ya) Rejea

927.

عَنْ عِمْرَانَ بْنِ حُصَيْنٍ رَضِيَ اَللَّهُ عَنْهُ، {أَنَّهُ سُئِلَ عَنْ اَلرَّجُلِ يُطَلِّقُ، ثُمَّ يُرَاجِعُ، وَلَا يُشْهِدُ؟ فَقَالَ: أَشْهِدْ عَلَى طَلَاقِهَا، وَعَلَى رَجْعَتِهَا} رَوَاهُ أَبُو دَاوُدَ هَكَذَا مَوْقُوفًا، وَسَنَدُهُ صَحِيحٌ

Kutoka kwa ‘Imraan bin Huswayn (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesema kuwa: “Aliulizwa kuhusu mtu aliyemtaliki mkewe kisha akamrejea wala hakushuhudisha mtu. Akasema: “Shuhudisha talaka yake na kumrejea kwake.”[1] [Imetolewa na Abuu Daawuwd na ikiwa ni Mawquwf na Isnaad yake ni swahiyh]

928.

وَعَنِ اِبْنِ عُمَرَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا، {أَنَّهُ لَمَّا طَلَّقَ اِمْرَأَتَهُ، قَالَ اَلنَّبِيُّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ ، لِعُمَرَ: "مُرْهُ فَلْيُرَاجِعْهَا} مُتَّفَقٌ عَلَيْه

Kutoka kwa Ibn ‘Umar (رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا) amesema kuwa: Alipomtaliki mkewe, Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) alimuambia: “Muamrishe amrejee.” [Al-Bukhaariy, Muslim]

 

[1] Ina maana talaka na kumrejea mashahidi wawili ni lazima wawepo. Kama hakuna mashahidi, mwanaume au mwanamke anaweza kufanya kitu kwa kudanganya na ikasababisha matatizo zaidi. Kuita mashahidi ni lazima na ni jambo lenye kupendeza. Rai ya ‘Ulamaa wengi ni kuwa ni jambo linalopendeza kulifanya, lakini kwa ukweli haswa ni jambo la lazima.


Book traversal links for 08-Buluwgh Al-Maraam: Kitabu Cha Nikaah - كِتَابُ اَلنِّكَاحِ

  • ‹ 07-Buluwgh Al-Maraam: Kitabu Cha Nikaah: Mlango Wa Talaka
  • Up
  • 09-Buluwgh Al-Maraam: Kitabu Cha Nikaah: Mlango Wa Al-Iylaa, Dhwihaar, Kafaara ›
moon-icon

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

  • Muharram
    image
    مُحَرَّمْ
  • Swafar
    image
    صَفَرْ
  • Rabiy’u Al-Awwal
    Rabiy’u Al-Awwal
    رَبيعُ الْأَوًّلْ
  • Rabiy'u Al-Aakhir
    Rabiy'u Al-Aakhir
    رَبيعُ الآخِرْ
  • Jumaadaa Al-Uwlaa
    image
    جُمَادَى الْأُوْلَى
  • Jumaadaa Al-Aakhirah
    image
    جُمَادَى الْآخِرَة
  • Rajab
    image
    رَجَبْ
  • Sha'baan
    Shabaan
    شَعْبَانْ
  • Ramadhwaan
    iocn
    رَمَضَانْ
  • Shawwaal
    image
    شَوّالْ
  • Dhul-Qa’dah
    image
    ذُو الْقَعْدَةْ
  • Dhul-Hijjah
    icon
    ذُو الحِجَّةْ
Alhidaaya.com homepage
  • Kuhusu Alhidaaya
  • Maoni Yako-Wasiliana Na sisi (Contact Us)
  • Tovuti Muhimu

© 2026 Alhidaaya.com All rights reserved.