Imaam Ibn Al-Qayyim: Funguo Za Kupata Rahmah Ya Allaah Ni Ihsaan Katika 'Ibaadah Na Kuwanufaisha Watu
Funguo Za Kupata Rahmah Ya Allaah Ni Kufanya Ihsaan Katika 'Ibaadah Na Kuwanufaisha Watu
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah) amesema:
Funguo za kupata Rahmah (ya Allaah) ni kufanya ihsaan kwa 'Ibaadah ya Muumba, na kujitahidi kuwanufaisha waja Wake.
[Haadiy Al-Arwaah, uk. 66]
