41-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Majimaji Yanayomtoka Mwanamke Anapaswa Afanyeje?
Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas
41-Majimaji Yanayomtoka Mwanamke Anapaswa Afanyeje?
Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
SWALI:
Nini kinacholazimu pindi kiwiliwili au inapopatwa na majimaji hayo?
JIBU:
Akiwa ni tohara haimlazimu chochote, na ikiwa ni najisi ambayo inatoka katika kinena basi ni wajibu wake kusafisha.
