Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao: 2 Itikadi Yao Juu Ya Qur-aan
Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao: 2
Itikadi Yao Juu Ya Qur-aan
Qur-aan
1. Wanaamini kwamba Qur-aan haijakamilika.
2. Qur-aan ina aya 17,000. Ya kwetu (Waislamu) ina aya 6,236.
3. Abu Bakr Asw-Swiddiyq alipinga Qur-aan.
4. Qur-aan ya asili iko kwa Imam wa 12.
5. Qur-aan itasomwa, itfundishwa na Imam wa 12 atakaporudi.
6. ‘Aliy aliwaonyesha Swahaba Qur-aan ya asili wakaikataa.
7. Aayah zinazozungumzia fadhila za ‘Aliy zilitolewa kwa makusudi katika hii Qur-aan tuliyonayo.
8. Kuna Hadiyth kama 2000 za Mashia zinzozungumzia Aayah. zilizokuwepo halafu zikatolewa katika hii Qur-aan na kuondolea kwa ayah zingine.
9. Murtaddiyn (walioritadi) waliondoa jina la ‘Aluy katika Qur-aan.
Marejeo:
(1) Uswuul al Kafi 1:228/ Faslul Khitaab fi Tahrif Kitaabi Rabil Arbaab ya Nuri Tabarsi kilichothibitishwa na Khomeni katika ' Al- Hukumaat -ul- Islaamiyyah".
(2) Uswuul al Kaafi uk. 671.
(3) Uswuul al Kaafi uk. 671.
(4) Kashful-Asraar uk. 111.
(5) Uswuul al Kaafi 2-632.
(6) Uswuul al Kaafi uk. 622.
(7) Maqbool - 1067 - Uswuul al Kafi Juzuu1 uk. 228.
(8) Tafsir Ali Qummi - 308 /Uswuul al Kaafi 1:416/Tanbihi ya Tafsiri ya Maqbool 637/ Al- Ihtijaj – Tabrasiy - 1-254/ Tafsir ya Saafi - 1- 32/ Muqaddamah 6, kutoka Tafseer Saafi uk.32 Juzuu -1.
(9) Uswuul al Kaafi 1:228/ Faslul Khitwaab fi Tahriyf Kitaabi Rabbil Arbaab cha Nuuri Tabrasiy.
(10) Suwrah Muhammad, Aya 9, Ibara 26 - Molvi Maqbool Dehli uk.1011.