Imaam Ibn Al-Qayyim: Kujitenga Kwa Ajili Ya Kumuomba Allaah Na Kujihesabu Nafsi

Kujitenga Kwa Ajili Ya Kumuomba Allaah Na Kujihesabu Nafsi

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

                                                                             

Alhidaaya.com

                                                                             

 

 

Amesema Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah):

 

“Yampasa mtu awe na muda ambapo atamuomba Rabb wake, ambapo atakaa peke yake na kujitenga na kufanyia muhasaba nafsi yake. Kitendo chake hicho kitakuwa ni bora kuliko kukutana na watu na kunufaika nao. Na ndio maana kule kujitenga mtu usiku na Rabb wake ni bora kuliko kukutana na watu.

 

[Sharh Al-‘Umdah Ya Ibn Taymiyyah (3/650)]

 

 

 

Share