Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Usichukie (Majaaliwa) Anayokuchagulia Allaah
Usichukie (Majaaliwa) Anayokuchagulia Allaah
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
Usichukie (majaaliwa) ambayo Amekuchagulia Allaah, kwani Allaah hukuchugulia jambo ambalo lina maslahi makubwa kwako ambayo wewe hutambui.
[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn (3/309)]
