Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ambatana Na Watu Wa Khayr Uongokewe
Ambatana Na Watu Wa Khayr Uongokewe
Imaan Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):
"Jitahidi kuambatana na watu wa kheri, wanakuelekeza unapotaka maelekezo, na kukuongoza unapopotea, wanakukumbusha unaposahau na wanakufundisha unapokuwa hujui kitu."
[Sharh Swahiyh Al-Bukhaariy (1/62)]
