18-Hadiyth: Husnul-Khuluq: Wengi Watakaoingizwa Jannah Ni Wenye Husnul-Khuluq
Hadiyth: Husnul-Khuluq (Tabia Njema)
Hadiyth Ya 18
Wengi Watakaoingizwa Jannah Ni Wenye Husnul-Khuluq
وَعَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رضى الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ اَللَّهِ صلى الله عليه وسلم {أَكْثَرُ مَا يُدْخِلُ اَلْجَنَّةَ تَقْوى اَللَّهِ وَحُسْنُ اَلْخُلُقِ} أَخْرَجَهُ اَلتِّرْمِذِيُّ، وَصَحَّحَهُ اَلْحَاكِمُ
Kutoka kwa Abuu Hurayrah (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesema Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Mengi yanayowaingiza watu Jannah ni kuwa na taqwa Allaah na khulqa (tabia) njema.” [Imetolewa na At-Tirmidhiy na akaisahihisha Al-Haakim]