Imaam Ibn Al-Qayyim: Kunywa Asali Na Maji Tumbo Likiwa Halina Kitu Ni Hifadhi Ya Siha
Kunywa Asali Na Maji Tumbo Likiwa Halina Kitu Ni Hifadhi Ya Siha
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
“Katika hilo la kunywa asali na maji (ya vuguvugu) tumbo likiwa tupu kuna siri ya ajabu katika kuhifadhi afya ya mtu, halidiriki hili isipokuwa mtu mwerevu.”
[Zaad Al-Ma’aad (35/4)]