Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kumswalia Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّم) Ni Sababu Ya Kuzidi Iymaan Na Kusahilishiwa Mambo
Kumswalia Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّم) Ni Sababu Ya Kuzidi Iymaan Na Kusahilishiwa Mambo
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
“Ee ndugu yangu zidisha kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ili Iymaan yako izidi na mambo yako yapate sahala (kuwa mepesi).”
[Sharh Riyaadhw As-Swaalihiyn (5/471)]