021-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji: Mtu Asile Huku Ameegemea
Swahiyh Fiqh As-Sunnah
كِتَابُ الأَطْعِمَةِ وَالأَشْرِبةِ وَمَا يَتَعَلَّقُ بِهِمَا
Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji Na Yanayohusiana Na Viwili Hivi
Adabu Za Kula
021-Mtu Asile Huku Ameegemea
5- Mtu Asile Huku Ameegemea
Ni kwa Hadiyth ya Abu Juhayfah, amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
"أَمَّا أَنَا، فَلا آكُلُ مُتَّكِئًا"
“Mimi kwa upande wangu, sili huku nimeegemea kitu”. [Hadiyth Swahiyh. Imekharijiwa na Al-Bukhaariy (5398) na At-Tirmidhiy katika Ash-Shamaail (64)].
