036-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Mambo Yanayodhaniwa ni Riya Lakini si Riya
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب مَا يتوهم أنَّه رياء وليس هُوَ رياء
036-Mlango Wa Mambo Yanayodhaniwa ni Riya Lakini si Riya
وعن أَبي ذرٍ رضي الله عنه قَالَ : قِيلَ لِرسولِ الله صلى الله عليه وسلم : أرَأيْتَ الرَّجُلَ الَّذِي يَعْمَلُ العَمَلَ مِنَ الخَيْرِ ، وَيَحْمَدُهُ النَّاسُ عَلَيْهِ ؟ قَالَ : (( تِلْكَ عَاجِلُ بُشْرَى المُؤْمِنِ )) . رواه مسلم .
Amesema Abu Dharr (Radhwiya Allaahu 'anhu): Aliulizwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): "Unaonaje kwa mtu ambaye anafanya amali za kheri na watu wakawa wanamsifu kwa hayo?" Akasema: "Hii bishara ya haraka kwa Muumini." [Muslim]