Ukurasa Wa Kwanza /17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها
17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها
(Mabustani Ya Swalihina)
كِتابُ الأُمور الْمُنْهى عَنْها
17-Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa
- 001-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuharamishwa Kusengenya na Amri ya Kuhifadhi Ulimi
- 002-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kusikiliza Kusengenya na Amri kwa Mwenye Kusikia Kumkataza Msemaji na Akishindwa au Asipokubali Kutoka Kwake Basi Aondoke Kwenye kikao
- 003-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Yanayoruhusiwa katika Kusengenya
- 004-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuharamishwa Umbeya, Nako ni Kueneza Maneno Baina ya Watu kwa Njia ya Kuleta Ufisadi
- 005-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuchukua Hadiyth, Maneno ya Watu na Kuyapeleka kwa Viongozi Ikiwa Hapana Haja Yoyote Kama Hofu ya Ufisadi na Mfano Wake
- 006-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Shutuma kwa Mwenye Nyuso Mbili
- 007-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuharamishwa Uongo
- 008-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kubainisha Ruhusa ya Kusema Uongo
- 009-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuhimiza Kuthibitisha kwa Anayosema
- 010-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuharamishwa Ushuhuda wa Uwongo
- 011-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumlaani Mtu au Mnyama
- 012-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ruhusa Kuwalaani Watu wa Maasi Bila Kuwataja Majina
- 013-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumtusi Muislamu Bila ya Haki
- 014-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kutukana Walio Kufa Bila ya Haki na Maslahi ya Kisheria
- 015-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuudhi
- 016-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kubughudhiana na Kukatana na Kupeana Nyongo
- 017-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Hasadi
- 018-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupeleleza na Kusikiliza Mazungumzo kwa Wasiotaka Usikiliza
- 019-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuwa na Dhana Mbaya kwa Waislamu Bila ya Dharura
- 020-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuwadharau Waislamu
- 021-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa kufurahi kwa Baya Linalomkumba Muislamu
- 022-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kukashifu (Kutusi) Nasaba
- 023-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kughushi na Kuhadaa
- 024-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuvunja Ahadi
- 025-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumsimanga Mtu kwa Ulichompa na Mfano Wake
- 026-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kujifakhiri na Ujeuri
- 027-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuhamana Baina ya Waislamu Wawili Zaidi ya Siku Tatu ila Ikiwa ni Mtu wa Bid'ah au Ufasiki na Mfano Wake
- 028-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kunong'onezana Wawili Pasina wa Tatu Bila Idhini yake Isipokuwa kwa Haja (Dharura)
- 029-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumuadhibu Mtumwa na Mnyama na Mwanamke na Mtoto Bila ya Sababu ya Kisheria au Zaidi ya Kile Kiwango cha Kutia Adabu
- 030-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuharamishwa Kuadhibu Mnyama Yoyote Hata Chungu na Mfano Wake Kutumia Moto
- 031-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuharamishwa kwa Mtu Mwenye Uwezo Kukataa Kulipa Deni
- 032-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Karaha ya Kurudisha Hiba (Zawadi) Ambayo Bado Hajaikabidhi kwa Mwenye Kupewa, na Hiba Aliyompa Mtoto Wake na Akaipokea au Hata Kama Hakuipokea, Karaha ya Kununua Kitu Alichokitoa Swadaqah kutoka kwa Aliyempa Swadaqah
- 033-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kula Mali ya Yatima
- 034-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukubwa wa uharamu wa Riba
- 035-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Riya
- 036-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Mambo Yanayodhaniwa ni Riya Lakini si Riya
- 037-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kumwangalia Mwanamke wa Kando na Mvulana Mzuri Bila Haja ya Kisheria
- 038-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukaa Faragha na Mwanamke wa Kando
- 039-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Wanaume Kushabihiana na Wanawake na Kinyume Chake Katika Mavazi, Mwendo na Mengineo
- 040-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kujifananisha na Shetani na Makafiri
- 041-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Mwanaume na Mwanamke Kutia Rangi Nyeusi katika Nywele zao
- 042-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kunyoa na Kubakishia Vijisehemu Visivyo Nyolewa (Denge) na Kukubaliwa Kunyoa Zote kwa Wanaume na Wala si kwa Wanawake
- 043-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kuunganisha Nywele, Kuchanjwa na Kujaliza Meno
- 044-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kung'oa Mvi Kwenye Ndevu, Kichwa na Sehemu Nyengineyo na Kunyoa Ndevu kwa Kijana
- 045-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Karaha ya Kustanji kwa Mkono wa Kulia na Kuishika Dhakari Yake kwa Mkono wa Kulia Bila Udhuru
- 046-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Karaha ya Kutembea na Kiatu Kimoja au Soksi Moja Bila Udhuru Wowote na Karaha ya Kuvaa Viatu au Soksi kwa Kusimama Bila Udhuru
- 047-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuacha Moto katika Nyumba Wakati wa Kulala na Mfano Wake Kama Taa
- 048-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Takilifu, Nayo ni Kufanya Kitendo na Kusema Maneno Ambayo Hayana Maslahi na Ndani yake Yapo Mashaka
- 049-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu Kuomboleza Maiti kwa Kujipiga Mashavu, Kuchana Nguo, Kung'oa Nywele, Kunyoa na Kujiombea Maangamivu
- 050-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuwaendea Makuhani na Wapiga Bao na Ramli
- 051-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuamini Fali (Mkosi)
- 052-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kuchora Wanyama katika Busati au Mawe, Nguo, Dirhamu, Dinari (Hela), Mto na Kadhalika na Uharamu wa Kuwa na Picha katika Ukuta, Pazia, Kilemba, Nguo na Mfano wake na Amri ya Kufuta Picha
- 053-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kufuga Mbwa Ila kwa Kuwinda au kwa Kulinda Wanyama au Mazao
- 054-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuwafunga Kengele Ngamia na Wanyama Wengine na Ukaraha wa Kumchukua Mbwa na Kengele katika Safari
- 055-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kumpanda Jalaalah, Naye ni Ngamia Anayekula Kinyaa Lakini Anapokula Malisho Yaliyo Tohara Husafishika Nyama Yake na Kuondoka Ukaraha Huo
- 056-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kutema Mate Msikitini, Amri ya Kuyaondoa Yanapopatikana na Amri ya Kusafisha Msikiti
- 057-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kugombana Msikitini, Kunyanyua Sauti Ndani Yake, Kusaka Kitu Kilichopotea, Kuuza, Kununua na Kuajiri na Mfano Wake katika Muamala
- 058-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuingia Msikitini Baada ya Kula Kitunguu Thaumu au Maji au Karoti au Vitu Vyengine Vyovyote Vyenye Harufu Mbaya Kabla ya Kuondoka Harufu hiyo Isipokuwa kwa Dharura
- 059-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Ihtibaa Siku ya Ijumaa Imamu Akiwa Ahutubu Kwani Linamletea Mtu Usingizi Hivyo Kukosa Kusikia Hotuba na Kuwa na Hofu ya Kutokwa na wudhuu
- 060-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa kwa Anayetaka Kuchinja Kukata Nywele au Kucha Zake Mpaka Achinje Pindi Linapoingia Kumi la Kwanza la Dhul Hijjah
- 061-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuapa kwa Viumbe Kama Nabiy, Ka'abah, Malaaikah, Mbingu, Baba, Uhai, Roho, Kichwa, Neema ya Sultani, Mchanga wa Fuani (Kaburi) na Amana, Nayo Imekatazwa kwa Ukali Zaidi
- 062-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uzito wa Kula Yamini Ya Uongo Kwa Makusudi
- 063-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Sunnah kwa Mwenye Kula Yamini Akaona Kufanya Kinyume na Yamini Hiyo Ndiyo Bora, Hivyo Alifanye Hilo Kisha Afanye Kafara la Kufanya Kinyume na Yamini Lake
- 064-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kusamehewa kwa Kutotekeleza Yamini ya Upuuzi Kuwa Halina Kafara, Nayo ni Kusema kwa Ulimi Bila ya Kukusudia Yamini Kama Kauli Yake ya Ada: Sivyo Wa-Allaahi na Ndio Wa-Allaahi na Mfano wake
- 065-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kula Yamini katika Biashara Hata Akiwa Mkweli
- 066-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Mtu Kuomba kwa Jina la Allaah Mbali na Jannah na Ukaraha wa Kumkataza Mwenye Kuomba kwa Allaah Ta'aalaa
- 067-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kujiita Shaahinshah kwa Sultani na Wengineo Kwani Maana yake ni Mfalme wa Wafalme na kwa Hilo Hasifiwi Nalo ila Allaah Ta'aalaa
- 068-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumuita Fasiki na Mzushi na Mfano Wao kwa Jina la Bwana na Mfano wake
- 069-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuitukana Homa
- 070-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kutukana Upepo na Kubainisha Kinacho Semwa Wakati wa Kuvuma Kwake
- 071-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kumtukana Jogoo
- 072-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa kwa Mtu Kusema: Tumepata Mvua Kutokana na Nyota Kadha
- 073-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kumwambia Muislamu: Ee Kafiri
- 074-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kutoa Maneno Machafu na ya Kishenzi
- 075-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Mazungumzo ya Kukera na kuvupa Mipaka Ndani Yake na Kujikalifisha katika Ufasaha na Kutumia Lugha Mbaya
- 076-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Mtu Kusema Nafsi Yangu Imekuwa Mbaya
- 077-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuziita Zabibu kwa Jina Karm
- 078-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuusifu Uzuri wa Mwanamke Mbele ya Mwanaume ila Anapohitajia Hilo kwa Haja Inayokubaliwa na Sheria Kama Kumuoa na Mfano Wake
- 079-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Mtu Kusema: Ee Mola Wangu Nisamehe Ukipenda Bali Aazimie katika Maombi
- 080-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kusema: Akipenda Allaah na Akapenda Fulani
- 081-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Mazungumzo Baada ya Ishaa ya Mwisho
- 082-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Mke Kukataa Mwito wa Mumewe Anapomuita Kitandani na Hana Udhuru Wowote wa Kisheria
- 083-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Mwanamke Kufunga na Mumewe Yupo Nyumbani (Au Mjini) Bila ya Idhini Yake
- 084-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kunyanyua Maamuma Kichwa chake Kutoka katika Rukuu au Sijda Kabla ya Imam
- 085-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuweka Mkono Kiunoni katika Swalaah
- 086-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuswali Pindi Chakula Kinapokuwa Tayari na Nafsi yake Imevutiwa Kwayo au Kushikwa na Haja Mbili: Nazo ni Ndogo na Kubwa
- 087-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kunyanyua Macho Juu Mbinguni katika Swalaah
- 088-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kugeuka Geuka katika Swalaah Bila Udhuru Wowote
- 089-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuswali Makaburini
- 090-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kupita Mbele ya Wenye Kuswali
- 091-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuanza Maamuma Swalaah ya Sunnah Baada ya Muadhini Kukimu Swalaah
- 092-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuihusisha Siku ya Ijumaa kwa Funga au Usiku wake kwa Swalaah Miongoni mwa Masiku Mengine
- 093-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Al-Wiswaal katika Funga, Nayo ni kwa Mtu Kufunga Siku Mbili au Zaidi Wala Hali Chakula wala Hanywi Chochote Baina Yake
- 094-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kukaa Juu ya Kaburi
- 095-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kulipiga Plasta Kaburi na Kulijengea
- 096-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uzito wa Uharamu wa Mtumwa Kutoroka Kutoka kwa Bwana Wake
- 097-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kumuombea Mtu katika Adhabu (Hadd)
- 098-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kwenda Haja Njiani, Mapito ya Watu, Sehemu ya Vivuli, katika Maji na Mfano wake
- 099-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kukojoa na Mfano Wake Katika Maji Yaliyotua
- 100-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Mzazi Kuwapendelea Baadhi ya Watoto Wake Juu ya Wengine Katika Hiba
- 101-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Mwanamke Kukaa na Msiba wa Maiti Zaidi ya Siku Tatu Isipokuwa kwa Mumewe Ambao ni Miezi Minne na Siku Kumi
- 102-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu kwa Mtu wa Mjini Kununua kwa Mtu wa Kijijini na Kupokea Njiani Msafara wa Wafanya Biashara, na Kuuza katika Mauzo ya Nduguye, na Posa Juu ya Posa yake Isipokuwa Akitoa Ruhusa au Akikataliwa
- 103-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kufuja Mali kwa Njia Ambayo Haikuidhinishwa na Sheria
- 104-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumuashiria muislamu kwa Silaha na Mfano wake Sawa ni kwa Kweli au Mzaha na Katazo la Kuwa na Upanga Nje ya Ala yake
- 105-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa kutoka Msikitini Baada ya Adhana Isipokuwa kwa Udhuru Mpaka Aswali Swalaah ya Faradhi
- 106-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kurudisha Zawadi ya Manukato Bila Udhuru
- 107-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kumsifu Mtu Mbele Yake kwa Anayehofiwa Ufisadi Kama Vile Kiburi na Mfano Wake na Kufaa kwa Yule Anayeaminiwa katika Haki Yake
- 108-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kutoka katika Mji Ambao Umekumbwa na Ugonjwa wa Kuambukiza na Kuingia Ndani yake (Haifai Kuingia Wala Kutoka katika Mji Huo)
- 109-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uzito wa Uharamu wa Uchawi
- 110-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kusafiri na Msahafu katika Nchi ya Makafiri Ikihofiwa Kuingia Mkononi Mwa Adui
- 111-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kutumia Vyombo vya Dhahabu, Fedha katika Kula, Kunywa, Tohara na Njia Zote za Matumizi yake
- 112-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Mwanamume Kuvaa Nguo ya Zafarani
- 113-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kukaa Kimya Kuanzia Asubuhi Mpaka Usiku
- 114-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Mtu Kujinasibisha kwa Asiyekuwa Baba Yake na Mtumwa Anayemkimbia Bwana Wake
- 116-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuonywa katika Kufanya Aliyo Kataza Allaah 'Azza wa Jalla au Rasuli Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
- 117-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Anachosema wa Anachofanya Mwenye Kufanya Alichokatazwa