076-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Mtu Kusema Nafsi Yangu Imekuwa Mbaya
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب كراهة قوله : خَبُثَتْ نَفْسي
076-Mlango Wa Ukaraha wa Mtu Kusema Nafsi Yangu Imekuwa Mbaya
عن عائشة رضي الله عنها ، عن النبيّ صلى الله عليه وسلم ، قال : (( لاَ يَقُولَنَّ أَحَدُكُمْ : خَبُثَتْ نَفْسي ، وَلكِنْ لِيَقُلْ : لَقِسَتْ نَفْسي )) متفق عليه .
Imepokewa kutoka kwa 'Aaishah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Asiseme mmoja wenu, 'Khabuthat nafsiy (kichefuchefu kimenizidi kwa ajili ya kuvimbiwa)'." [Al-Bukhaariy, Muslim na Abu Daawuwd]