099-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kukojoa na Mfano Wake Katika Maji Yaliyotua
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب النهي عن البول ونحوه في الماء الراكد
099-Mlango Wa Kukatazwa Kukojoa na Mfano Wake Katika Maji Yaliyotua
عن جابر رضي الله عنه : أنَّ رسولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم نَهَى أنْ يُبَالَ في المَاءِ الرَّاكِدِ . رواه مسلم .
Imepokewa kutoka kwa Jaabir (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amekataza (mtu yeyote) kukidhi haja yake ndani ya maji yaliyotuama. [Muslim]
