094-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kukaa Juu ya Kaburi

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب تحريم الجلوس عَلَى قبر

094-Mlango Wa Uharamu wa Kukaa Juu ya Kaburi

 

Alhidaaya.com

 

عن أَبي هريرة رضي الله عنه قَالَ : قَالَ رسولُ الله صلى الله عليه وسلم : (( لأنْ يَجْلِسَ أحَدُكُمْ عَلَى جَمْرَةٍ ، فَتُحْرِقَ ثِيَابَهُ فَتَخْلُصَ إِلَى جِلْدِهِ خَيْرٌ لَهُ مِنْ أنْ يَجْلِسَ عَلَى قَبْرٍ )) . رواه مسلم .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Laiti mmoja wenu angalikalia kaa la moto ikaunguza nguo zake na ukapenya hadi kwenye ngozi yake ni bora zaidi kuliko kukaa juu ya kaburi." [Muslim]

 

 

Share