095-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kulipiga Plasta Kaburi na Kulijengea
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب النهي عن تجصيص القبر والبناء عليه
095-Mlango Wa Kukatazwa Kulipiga Plasta Kaburi na Kulijengea
عن جابر رضي الله عنه قَالَ : نَهَى رسولُ الله صلى الله عليه وسلم أن يُجَصَّصَ القَبْرُ ، وأنْ يُقْعَدَ عَلَيْهِ ، وَأنْ يُبْنَى عَلَيْهِ . رواه مسلم .
Amesema Jaabir: Amekataza Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kulipiga plasta, na kukaliwa juu yake na kulijengea. [Muslim]