083-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Mwanamke Kufunga na Mumewe Yupo Nyumbani (Au Mjini) Bila ya Idhini Yake
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب تحريم صوم المرأة تطوعاً وزوجها حاضر إِلاَّ بإذنه
083-Mlango Wa Uharamu wa Mwanamke Kufunga na Mumewe Yupo Nyumbani (Au Mjini) Bila ya Idhini Yake
وعن أَبي هريرة رضي الله عنه : أنَّ رسُولَ الله صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : (( لاَ يَحِلُّ لِلْمَرْأَةِ أَنْ تَصُومَ وَزَوْجُهَا شَاهِدٌ إِلاَّ بِإذْنِهِ ، وَلاَ تَأذَنَ فِي بَيْتِهِ إِلاَّ بِإذْنِهِ )) متفق عَلَيْهِ .
Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Si halali kwa mwanamke kufunga sawm na mumewe yupo (mjini) isipokuwa kwa idhini yake. Na pia haifai kwake kumkubalia mtu kuingia nyumbani kwake isipokuwa kwa idhini ya mumewe." [Al-Bukhaariy na Muslim]