080-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kusema: Akipenda Allaah na Akapenda Fulani

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب كراهة قول : ما شاء اللهُ وشاء فلان

080-Mlango Wa Ukaraha wa Kusema: Akipenda Allaah na Akapenda Fulani

 

Alhidaaya.com

 

عن حُذَيْفَةَ بنِ اليمانِ رضي الله عنه ، عن النبيّ صلى الله عليه وسلم ، قال : (( لاَ تَقُولُوا : مَا شَاءَ اللهُ وَشَاءَ فُلاَنٌ ؛ وَلكِنْ قُولُوا : مَا شَاءَ اللهُ ، ثُمَّ شَاءَ فُلاَنٌ )) . رواه أبو داود بإسناد صحيح .

Imepokewa kutoka kwake Hudhayfah bin Al-Yamaan (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Usiseme: 'Akitaka Allaah na kutaka fulani', lakini sema: 'Akipenda Allaah, kishaa akapenda fulani'." [Abu Daawuwd kwa Isnaad iliyo Swahiyh]

 

 

Share