110-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kusafiri na Msahafu katika Nchi ya Makafiri Ikihofiwa Kuingia Mkononi Mwa Adui
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب النهي عن المسافرة بالمصحف إِلَى بلاد الكفار
إِذَا خيف وقوعه بأيدي العدوّ
110-Mlango Wa Kukatazwa Kusafiri na Msahafu katika Nchi ya Makafiri Ikihofiwa Kuingia Mkononi Mwa Adui
عن ابن عمر رضي الله عنهما ، قَالَ : نَهَى رسولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم أنْ يُسَافَرَ بالقُرْآنِ إِلَى أرْضِ العَدُوِّ . متفق عَلَيْهِ .
Amesema Ibn 'Umar (Radhwiya Allaahu 'anhumaa): Amekataza Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kwa mtu kusafiri na Qur-aan katika ardhi ya maadui. [Al-Bukhaariy, Muslim na Abu Daawuwd]