085-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuweka Mkono Kiunoni katika Swalaah
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب كراهة وضع اليد عَلَى الخاصرة في الصلاة
085-Mlango Wa Ukaraha wa Kuweka Mkono Kiunoni katika Swalaah
عن أَبي هريرة رضي الله عنه: أنَّ رسولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم نَهَى عن الخَصْرِ في الصَّلاَةِ . متفق عَلَيْهِ .
Amesema Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu): Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amekataza kuweka mkono kiunoni katika Swalaah." [Al-Bukhaariy, Muslim, Abu Daawuwd, At-Tirmidhiy na An-Nasaaiy]