08-Tukumbushane: Jicho Ni Maafa

 

Tukumbushane

 

Alhidaaya.com

 

 

08:  Jicho Ni Maafa:

 

 

Jicho ni maafa wakati litakapoachiliwa kuangalia kila lile la haramu, na hapo linakuwa linafungua mlango katika milango ya Jahannam.

 

Ibn Al-Qayyim amesema:  “Kuangalia ni mfano wa mbegu iliyotupwa kwenye udongo.  Kama utaiacha bila kuifanyia chochote, basi itakauka.  Na kama utainyesheleza, basi itamea.  Na ndivyo hivyo kutizama ya haramu”.

 

Yaani ukiendekeza, basi unazidi kukoleza madhambi, na hatima inakuwa ni mbaya zaidi.

                              

 

Share