13-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Kufunga Ndoa: Masharti Ya Kuswihi ‘Aqdi Ya Ndoa: Sharti La Pili: Ridhaa Ya Mwanamke Kabla Ya Kuolewa

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الزَّوَاجِ

 

Kitabu Cha Ndoa

 

عَقْدُ الزَّوَاجِ

 

Kufunga Ndoa

 

 

Alhidaaya.com

 

 

 

13:  Masharti Ya Kuswihi ‘Aqdi Ya Ndoa: Sharti La Pili: Ridhaa Ya Mwanamke Kabla Ya Kuolewa:

 

 

Nyuma tushasema kwamba walii hana mamlaka ya kumlazimisha mwanamke kuolewa na mtu asiyemtaka, na ikiwa atamlazimisha, basi mwanamke ana haki ya kuwasilisha mashtaka yake kwa kadhi ili kuivunja ndoa.

 

 

Share