Zakaah Ya Bidhaa Zenye Kuingia Na Kutoka
SWALI LA
Assalaam Alaykum!
Nimetatizika kidogo na mambo ya zakaatul
1) Manunuzi (Purchasing Cost)
2) Bima (Insurance)
3) Usafirishaji (Freight)
4) Malipo kwa serikali ( Duty & VAT)
5) Gharama za kuutoa mzigo ( Clearing Charges)
Ninapofanya stock taking kwa ajili ya Zaka:
a) Jee najumuisha ghaama zote au gharama zipi zijumuishwe kwa ajili ya kupata gharama kamili (Real Valuation cost of the stock).
b) Mzigo ambao upo njiani nishaununua (Goods on
Transit) tuujumuishe ndani ya hesabu au kwakua bado hatujaupokea tusiuingize. Nikipata majibu kwa kabla ya ramadhani nitafurahi
Twatanguliza shukran zetu za dhati.
SWALI LA PILI:
UFAFANUZI WA SWALI LA MWANZO:
Asalaam Alykum,
Sisi twashughulika na Uagzaji wa bidhaa mbali mbali kutoka nje na kusambaza ndani ya nchi. Nyingi katika bidhaa zetu huchukua si zaidi ya miezi mitatu kumalizika.
Kiufupi kila mwezi twaingiza
mzima. Naomba ufafanuzi hapo! Wabillaahit Taufiiq!
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Moja katika masharti ya kukamilishwa kabla ya kutolewa Zakaah ni
Hivyo kufafanua mas-ala yako ni
Shurti la kupitiwa na mwaka
Katika mali ya biashara ikiwa mwanzo wa mwaka yaani (Shawwaal kwa mfano uliotuletea) mali iliyopo tayari imefikia Nisaab (sawa na gramu 85 za dhahabu safi) basi ikimalizika mwaka (Ramadhaan) tunaangalia bidhaa iliyopo na pesa zilizopo Benki ambazo tayari zimo kwenye milki yenu na kisha kutoa Liabilities zote kama (madeni, malipo n.k) na kitakachobaki ndicho kitahesabiwa kutolewa. Bidhaa hutiwa thamani kwa mujibu wa thamani iliyopo (market value).
Tanbihi: Si lazima kuangalia nini kimeingia na kipi kimetoka wakati biashara inaendelea kinachotazamwa ni mwanzo wa mwaka je
Hivyo mtaangalia bidhaa zenu zilizoko kwenye ghala
Na hapa tutawekea jedwali ndogo ya kuainisha vipi katika ulivyovitaja vitapaswa kutolewa/kutotolewa Zakaah
MALI/BIDHAA/LIABILITIES |
ZINATOLEWA |
HAZITOLEWI |
BIDHAA ZILIZOPO DUKANI |
Ni bidhaa yenye kuongezeka na ipo |
|
PESA ZILIZO BENKI |
Ni |
|
MZIGO TUMESHANUNUA BADO UPO NJIANI |
|
Kwa sababu bado hamjaumiliki kikamilifu(complete possession) |
BIMA |
Si sehemu ya matumizi (ingawa inategemea na BIMA yenyewe, pia na nchi |
|
MALIPO YA SERIKALI VAT /INCOME TAX |
Hujumuishwa katika hesabu ya kutoa Zakaah |
|
GHARAMA ZA KUUTOA MZIGO |
|
Ni sehemu ya matumizi |
MISHAHARA |
|
Ni sehemu ya matumizi |
USAFIRISHAJI |
|
Ni sehemu ya matumizi |
MADENI (MNAYODAI) |
Ikiwa yanatarajiwa kulipwa |
|
MADENI (MNAYODAIWA) |
|
Hamna uwezo wa kuyatolea |
FAIDA (Profit) |
Ni sehemu ya |
|