Anaweza Kufunga Ndoa Bila Ya Kumshauri Mama Yake Asiye Muislamu?
SWALI:
Nimezaliwa nje ya ndoa na mama yangu alikuwa muislamu, ila kwa sasa si muislamu, nimejitahidi sana kumrejesha lakini sikufanikiwa hadi imefikia kuwa mimi na yeye huwa hatupendani kama mtu na mama yake, swali ni kwamba hivi majuzi nilimtambulisha kwa mchumba wangu ila yeye hakuonesha ushiriano hata kidogo hata kuwapa taarifa ndugu zake hakutaka, kiasi kwamba nilishindwa kutekeleza ibada hiyo muhimu ya ndoa, sasa nataka kujipanga tena upya ili niondokane na 'uwendawazimu huu' je naweza kufunga ndoa bila ya kuwapa taarifa upande wa familia yangu? kwani wananiaona kinyume pindi ninapowatamkia suala la ndoa.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako
Ama kuhusu mahusiano yako na mamako jaribu kiasi unachoweza mbali na kwamba yeye hataki uhusiano nawe.
Suala lako
“Mema na maovu hayalingani. Pinga uovu kwa lilio jema zaidi. Hapo yule ambaye baina yako naye pana uadui atakuwa
Endelea kumtendea wema mamako hata
Ama kuhusu ndoa hakika ni kuwa mwanamme hahitaji idhini kutoka kwa wazazi si
Tunakuombea kwa Allaah Aliyetukuka Akufanyie sahali, wepesi na uweze kutekeleza
Na Allaah Anajua zaidi