Amempeleka Mke Nchi Za Kimagharibi Anakopata Matumizi Ya Serikali - Kisha Kamtelekeza Na Kudai Kuwa Ameshatimiza Wajib Wake
SWALI:
Assalaamu alaykum warahmatu llahi wabarakaatu. mimi nina maswali yangu naomba ufafanuzi kidogo inshaallah. Mume wangu kanileta ulaya halafu yeye akarudi afrika akaoa, mkewe wa afrika anampa mahitaji yake yote, mimi nikamwambia wewe umeoa na mkeo unampa mahitaji yake mbona mimi hunipi, nalishwa, navishwa, napewa pa kukaa na serikali? akanijibu kua, yeye ndo alonileta ulaya kwa hiyo mimi nikipewa mahitaji yangu na serikali ni kua yeye ndo alofanya vile kwa sababu yeye ndo alonileta kwa pesa yake, na mahitaji ambayo napewa yeye ndo anaenipa kwa sababu ndo alonileta, na anasema kwamba kwani ukifanya biashara halafu ukipata faida ile faida inakua siyo? Kwa hiyo madamu yeye kanileta ile kulipwa ndio faida yenyewe ile, naomba mnijibu ndivyo sheria inavyosema?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kupelekwa kwako Ulaya kisha kutelekezwa. Naona dada yetu yapo mambo ambao umeyaacha hapo katikati ambayo yangetusaidia kuweza kukujibu kwa njia ambayo ni nzuri zaidi.
Hata hivyo, tutajaribu kukujibu kwa ujumba tunadhania kuwa utapata nasaha muwafaka katika
Ikiwa kupelekwa kwako Ulaya unapata marupurupu (pesa) ambazo ni za mumeo itakuwa ni
Kukuleta ni mbali na majukumu nayo ni mbali ambayo yanahitajiwa kutimizwa kwa njia iliyo bora.
Na Allaah Anajua zaidi.