Mwanasayansi Wa Kwanza Wa Kiarabu Kuruka Angani Anaitwaje?
SW
Mwanasayansi wa kwanza wa kiarabu kuruka angani je anaitwa nani?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu kwa swali lako kuhusu suala lako.
Hapa tutakujibu swali lako kwa mtazamo wa Kiislam. Na tunadhani umekusudia kuuliza Muislam aliyeruka angani na si Mwarabu. Na hii
Ama kuhusu mtu aliyeruka inasemekana ni yule aliyejulikana kwa jina la 'Abbaas bin Qaasim bin Firnas. Bwana huyu alizaliwa katika mji wa Ronda, uliopo Andalusia (
Na Allaah Anajua zaidi