Sharbati Ya Maziwa Na Shira Ya Rozi
Sharbati Ya Maziwa Na Shira Ya Rozi
Vipimo
Shira Ya Rozi (rose syrup) -½ kikombe cha chai
Vipande vya barafu - 1 Kikombe cha chai
Maziwa - 4 Kikombe cha chai
Namna Ya Kutayarisha
- Tia maziwa, shirah ya rozi na barafu katika jagi la kusagia (blender)
- Saga kwa muda wa dakika moja au mbili.
- Mimina sharbati kwenye gilasi ikiwa tayari.
