Mume Ananionea, Hanipendi Ananiadhiri Mbele Za Watu, Anajuta Kunioa Nami Naumia Sana Na Mateso Haya Nifanyeje?
SWALI:
Asalam aleikum. Ndugu zangu wa alhidaaya nina swali langu nataka uniffahamishe, mimi niko na mume wangu twaishi pamoja lakini hatuelewani kabisaa. Na tangu niishi nae sasa nina miaka 7 nimezaa nae watoto. Na tabiya yake nimkali
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kunyanyaswa na mumeo.
Mateso kwa wanawake dada zetu yamekithiri kwa kiasi cha kustaajabisha
1. Kutazama Dini ya mwanamme/ mwanamke.
2. Maadili na tabia zake.
3. Mahusiano na wenzake.
Basi ndoa zetu zingekuwa ni nzuri na maelewano na masikilizano ya hali ya juu. Kwa hakika hayo unayofanyiwa si mambo mazuri kabisa ya kufanyiwa licha mwanadamu hata mnyama pia haifai kuteswa hivyo. Kwa hiyo, mambo unayoweza kufanya ni
1. Jaribu mwanzo kuzungumza naye yale unayokabiliana nayo kutoka kwake hata
2. Wapigie wazazi wako uwaeleze yanayokusibu uwasikilize nasaha zao. Kwa kuwa wawakilishi wako (wazazi) hawawezi kufika huko itabidi baada ya kuwaeleza uwaeleze na wazazi wake kwa yale yanayokukumba. Ikiwa wazazi wake wapo huko mnakoishi itabidi uitishe kikao na wao kuhusu
3. Kwenda kwa Qaadhi kama yupo, na
Twataraji kuwa kutapatikana suluhisho muafaka kabisa kwa tatizo lako
Na Allaah Anajua zaidi