Achague Kuolewa Na Anayependana Naye Japokuwa Si Mcha Mungu Au Ambaye Ni Mcha Mungu?
SWALI:
Asalaam Aleikum Warahmatullah Taala Wabarakatuh, Ninawashukuru
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwanza tunapenda kukuarifu kwamba hatukuwa tukipokea maswali
Pili tunakupa nasaha kwamba katika maamkizi ya salaam, usiwe unaongeza neno 'Ta'ala' kwenye Salaam kwa kusema 'Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaahi Ta'ala wa Barakaatuh', kwani si jambo tulilofundishwa katika Salaam na hivyo ni bora mtu kuliepuka katika Salaam.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu mapenzi na yaliyopita kabla ya kujua kwako haki na ukweli. Mwanzo tumefurahi
Inatakiwa ifahamike kwa kila mmoja ambaye ni Muislamu kuwa kupenda ni lazima kuwe kwa ajili ya Allaah Aliyetukuka na kuchukia pia kuwe ni kwa ajili Yake. Haiwezekani kwa Muislamu kuwa Muislamu wa kihakika ikiwa atakuwa anayaendea maaswiya na mambo ya madhambi. Tufahamu kuwa katika huu ulimwengu unalofanya utalaumiwa na waja lakini la muhimu ambalo tunahitajika tuzingatie ni kutopata lawama ya Muumba wetu. Allaah Aliyetukuka Anasema: “Enyi mlioamini! Atakayeiacha miongoni mwenu Dini yake, basi Allaah Atakuja leta watu Anaowapenda nao wanampenda, wanyenyekevu kwa Waumini na wenye nguvu juu ya makafiri, wanapigania Jihadi katika Njia ya Allaah, wala hawaogopi lawama ya anaye laumu. Hiyo ndiyo fadhila ya Allaah, Humpa Amtakaye. Na Allaah ni Mkunjufu na Mwenye kujua” (al-Maa’idah [5]: 54).
Inatakiwa tujue kuwa tuliyoyafanya kabla ya kusilimu yote yamefutwa, lakini ya makosa utakayo yafanya sasa yanaandikwa na yasiyowapita kabisa. Weka mawazo yako pamoja, tilia
Naomba tusome pamoja yafuatayo:
1. Imaam al-Bukhaariy na Muslim wametunukulia Hadiyth ifuatayo kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Mwanamke huolewa kwa mambo manne: Kwa
2. Imaam at-Tirmidhiy naye ametunukulia yafuatayo kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam): “Akikujieni mnaye mridhia Dini yake na maadili yake basi muozeni. Mkitofanya hivyo basi kutakuwa na fitna katika ardhi na uharibifu mkubwa
Uchaguzi ni wako dada yetu kwani nasaha za hapo juu zipo wazi kabisa. Nasi tuko pamoja nawe katika kuichunga haki, hata hivyo itabidi ufuate mambo yafuatayo ili usighurike na shetani kiumbe ambaye haitaki Dini:
1. Kata mawasiliano na yule rafiki wako wa kwanza kwani huyo atakupeleka motoni baada ya kuongoka. Akikupigia simu mwambie wazi kuwa uhusiano wenu umeisha kwani hutaki kurudi katika dhambi. Watu wa maasiya ni muhimu kususiwa lau sivyo basi wataendelea tu huku wakiona kuwa wako sawa.
2.
Kwa Nini Tuswali Istikhaarah Na Iswaliwe Kwa Ajili Ya Nini - Ipi Du'aa Yake
Du’aa Ya Swaalatul-Istikhaarah Ni Kabla Ya Swalah Au Baada Ya Swalah?
Mkiwa wawili hivyo itakusaidia kuishikilia Dini kwani mtakuwa mnahimizana katika ya kheri. Na pia
Tunamuomba Allaah Aliyetukuka Akupatie ujasiri na hima ya kuchagua la kweli na haki na kuweza kushikamana nalo.
Na Allaah Anajua zaidi.